hajimadogo
Member
- Dec 22, 2015
- 19
- 6
Habari wa ndugu,
Naizungumzia Taifa Stars kuelekea Afcon 2019. Kwanza Taifa Stars ikienda sare dhidi ya Uganda mwakani tayari imeshajitoa wenyewe kuelekea Afcon. Mungu ajaalie Taifa Stars 5-0 Uganda. Haya ni matokeo mazuri kwa taifa lakini uzuri wake unategemea na mchezo kati ya Lesotho dhidi ya Cape Verde. Lesotho akishinda tu, Taifa Stars nje hata ashinde mia lakini msimamo wa kundi Tanzania inakuwa ya pili. Mimi ninachotaka kuuliza, Africa siku hizi inatumia sheria za Ulaya? Tanzania imekuwa dhaifu kweli, Uganda ndio inayoibeba Tanzania......