Habari Wadau. Nahitaji msaada juu ya Check Engine light.

elibob

Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
9
Reaction score
1
Wadau nimepata shida katika gari langu aina ya NISSAN X TRAIL ya Mwaka 2003

Taa ya check Engine ina waka hata baada ya klipeleka kwa fundi.
Fundi alishauri kubadilisha sensor maana tangu inunuliwe imekuja na sensor hiyo.
Taa bado inaendelea kuwaka hata baada ya kubadilishwa sensor.
Sasa imenibidi nilipark tu maana sijui tatizo ni nini nisije kuliua gari moja kwa moja.
Wataalamu nipeni ushauri na muongozo wa nini cha kufanya.
 
Hiyo njia ilinisaidia, nina Nissan Serena. Au ruhusu battery iishe nguvu kabisa bila kuitenganisha ili ipoteze memory.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau nimepata shida katika gari langu aina ya NISSAN X TRAIL ya Mwaka 2003

Taa ya check Engine ina waka hata baada ya klipeleka kwa fundi.
Fundi alishauri kubadilisha sensor maana tangu inunuliwe imekuja na sensor hiyo.
Taa bado inaendelea kuwaka hata baada ya kubadilishwa sensor.
Sasa imenibidi nilipark tu maana sijui tatizo ni nini nisije kuliua gari moja kwa moja.
Wataalamu nipeni ushauri na muongozo wa nini cha kufanya.
Tafta fundi sio kila fundi anajua mfumo wa x trail. Wengi wamezoea matoyota. Apo andaa kama 1m peleka kwa fundi makini litakuwa sawa. Na mtu asikudanganye hata siku moja ukaignore izo worning.

Mimi juzi nilifanya service kumbe jamaa hawakubadilisha filter wakati pesa ya filter niliwapa. Nimetembea nayo kama wiki 2. Taa ya engine oil ikawaka. Nikabadilisha oil tena. Ila ikaendelea ivyo ivyo. Nilfikiri ni sensor imekufa. Mafundi wakacheki sensor zipo sawa ila baada ya kuangalia filter ndyo kugundua ni chafu imeshachoka. Nikafunga filter na oil mpya worning ikapotea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau nimepata shida katika gari langu aina ya NISSAN X TRAIL ya Mwaka 2003

Taa ya check Engine ina waka hata baada ya klipeleka kwa fundi.
Fundi alishauri kubadilisha sensor maana tangu inunuliwe imekuja na sensor hiyo.
Taa bado inaendelea kuwaka hata baada ya kubadilishwa sensor.
Sasa imenibidi nilipark tu maana sijui tatizo ni nini nisije kuliua gari moja kwa moja.
Wataalamu nipeni ushauri na muongozo wa nini cha kufanya.
Nissan hazitaki fundi anaepiga ramli...
Peleka garage ya uhakika....fanya diagnosis kubaini fault code....then code ikitafsiriwa utajua ni kitu gani...
Yaweza kuwa Oxgen senskr, Air Maf sensor, au sensor nyingine yoyote mfano cam shaft position sensor...
Lakini pia angalia air filter isjekuta ndiyo imetoka na gari kiwandani 2003 mpka leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom