elibob
Member
- Jul 5, 2018
- 9
- 1
Wadau nimepata shida katika gari langu aina ya NISSAN X TRAIL ya Mwaka 2003
Taa ya check Engine ina waka hata baada ya klipeleka kwa fundi.
Fundi alishauri kubadilisha sensor maana tangu inunuliwe imekuja na sensor hiyo.
Taa bado inaendelea kuwaka hata baada ya kubadilishwa sensor.
Sasa imenibidi nilipark tu maana sijui tatizo ni nini nisije kuliua gari moja kwa moja.
Wataalamu nipeni ushauri na muongozo wa nini cha kufanya.