Wadau nimepata shida katika gari langu aina ya NISSAN X TRAIL ya Mwaka 2003
Taa ya check Engine ina waka hata baada ya klipeleka kwa fundi.
Fundi alishauri kubadilisha sensor maana tangu inunuliwe imekuja na sensor hiyo.
Taa bado inaendelea kuwaka hata baada ya kubadilishwa sensor.
Sasa imenibidi nilipark tu maana sijui tatizo ni nini nisije kuliua gari moja kwa moja.
Wataalamu nipeni ushauri na muongozo wa nini cha kufanya.
Thanks mkuu.Hiyo njia ilinisaidia, nina Nissan Serena. Au ruhusu battery iishe nguvu kabisa bila kuitenganisha ili ipoteze memory.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafta fundi sio kila fundi anajua mfumo wa x trail. Wengi wamezoea matoyota. Apo andaa kama 1m peleka kwa fundi makini litakuwa sawa. Na mtu asikudanganye hata siku moja ukaignore izo worning.Wadau nimepata shida katika gari langu aina ya NISSAN X TRAIL ya Mwaka 2003
Taa ya check Engine ina waka hata baada ya klipeleka kwa fundi.
Fundi alishauri kubadilisha sensor maana tangu inunuliwe imekuja na sensor hiyo.
Taa bado inaendelea kuwaka hata baada ya kubadilishwa sensor.
Sasa imenibidi nilipark tu maana sijui tatizo ni nini nisije kuliua gari moja kwa moja.
Wataalamu nipeni ushauri na muongozo wa nini cha kufanya.
Nissan hazitaki fundi anaepiga ramli...Wadau nimepata shida katika gari langu aina ya NISSAN X TRAIL ya Mwaka 2003