Atawakuta walinzi,Watampa jibu.Wana JAMII FORUMS naomba kuuliza je halmashauri huwa wanafanya kazi siku ya KARUME DAY?
KUNA mwajiriwa mpya wa serikali anahitaji kuripoti siku ya juma3 nayo inaangukia karume day je watampokea..,?
Seems majibu unayo mwenyewe. Wondering why umeulizaalie kujibu utakuta walinzi amemaanisha hamna kazi kwani ni public holiday thus unaenda siku ya kazi inayofuta.Kama hujui kaa kimya