Habari wakuu je halmashauri wanatoa huduma siku ya Karume day?

1Africa54

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2025
Posts
464
Reaction score
549
Wana JAMII FORUMS naomba kuuliza je halmashauri huwa wanafanya kazi siku ya KARUME DAY?

KUNA mwajiriwa mpya wa serikali anahitaji kuripoti siku ya juma3 nayo inaangukia karume day je watampokea..,?
 
Wana JAMII FORUMS naomba kuuliza je halmashauri huwa wanafanya kazi siku ya KARUME DAY?

KUNA mwajiriwa mpya wa serikali anahitaji kuripoti siku ya juma3 nayo inaangukia karume day je watampokea..,?
Atawakuta walinzi,Watampa jibu.
 
Kama hujui kaa kimya
Seems majibu unayo mwenyewe. Wondering why umeulizaalie kujibu utakuta walinzi amemaanisha hamna kazi kwani ni public holiday thus unaenda siku ya kazi inayofuta.
 
Unajua kuwa halmashauri ni ofisi za serikali ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…