HABARI WANA JAMII FORUM

HABARI WANA JAMII FORUM

Diason David

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2018
Posts
7,557
Reaction score
7,367
Mimi mwanajukwa mpya kwa jina ila mzoefu wa kuwafatilia tangu mwaka 2014 asante sana
 
Jamii Forum=Jamii Forums
Mdhoefu=Mzoefu...hapo aanza kujirekebisha kabla hujaingia ulingoni

But Karibu kijana,,kikubwa zingatia Itifaki[/QUOT
Jamii Forum=Jamii Forums
Mdhoefu=Mzoefu...hapo aanza kujirekebisha kabla hujaingia ulingoni

But Karibu kijana,,kikubwa zingatia Itifaki
Asante sana kwa maneno ya hekima.
 
Hadi kufikia hapa, kidogo nimejiridhisha kwamba wewe ni mgeni na sio fekelo
 
Karibu sana mheshimiwa.
Jitahidi kupitia kanuni, sheria na taratibu za JF kifungu kwa kifungu, utapata raha sana!
 
Nitajitahidi maana hali hilivyo sahivi nitabu sana hadi kwenye kona ya mitandao
Nini maana ya fekelo

Boss niwie radhi lakini naona licha ya madai ya ugeni lakini inaweza kuwa umefanya ubatizo.
 
Back
Top Bottom