Habari wana jamii, Mimi ni member mpya, mnipokee tafadhali

Karibu ila kubali kukosolewa na kukosoa pengine kupokea pongezi pia kutoa pongezi! karibu sana!
 

karibu bext
 
Mkwe Fixed Point hebu njoo ntegulie hiki kitendawili. Kwamba ni aka nani? Kumbe unanifanyia kusudi kunificha. Matesha narudisha mahari walah.
yaani hapo nilipaona mwe ila nikaamua kumezea mpaka mtani wangu watu8 akaifurumua....
mi nadhani huyu ni mwenzetu, ila tu hatujui sasa karudi vipi na kwa sababu gani atoke kivingine
 
Last edited by a moderator:
Ameingia nyumba ya wenyeji wakati guest house zipo kibao na ameiongia mpaka chumbani wakati alitakiwa akae sebuleni Jizzy1 karibu sana ila hebu kakae kwanza sebuleni wenye nyumba wanavaa nguo
Mkuu mr Rocky... Heshima kwako, nategemea mwongozo wenu wakongwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…