Habari wana jamii, Mimi ni member mpya, mnipokee tafadhali

Habari wana jamii, Mimi ni member mpya, mnipokee tafadhali

Karibu ila kubali kukosolewa na kukosoa pengine kupokea pongezi pia kutoa pongezi! karibu sana!
 
Habari wana jamii, ninafuraha kubwa kujiunga rasmi naiJF home of great thinkers kwa muda mrefu nimekuwa naingia kama guest, kwa kifupi nimepata faida nyingi sana kwa mada zenu mahususi. Ni natarajia kupata ushirikiano kutoka kwenu. Natanguliza shukrani, nawatakia baraka tele

karibu bext
 
Mi na wewe ni kitu kimoja. Mfanyie mchakato babu yako.
Jizzy1 we kalala.png Umeketi ? au kasimama.pngUmesimama dede?
 
Last edited by a moderator:
Mkwe Fixed Point hebu njoo ntegulie hiki kitendawili. Kwamba ni aka nani? Kumbe unanifanyia kusudi kunificha. Matesha narudisha mahari walah.
yaani hapo nilipaona mwe ila nikaamua kumezea mpaka mtani wangu watu8 akaifurumua....
mi nadhani huyu ni mwenzetu, ila tu hatujui sasa karudi vipi na kwa sababu gani atoke kivingine
 
Last edited by a moderator:
Ameingia nyumba ya wenyeji wakati guest house zipo kibao na ameiongia mpaka chumbani wakati alitakiwa akae sebuleni Jizzy1 karibu sana ila hebu kakae kwanza sebuleni wenye nyumba wanavaa nguo
Mkuu mr Rocky... Heshima kwako, nategemea mwongozo wenu wakongwe.
 
Back
Top Bottom