Habari wana jamii, Mimi ni member mpya, mnipokee tafadhali

Mbona inaonekana kama sio mgeni. Au ndio multi........................
 
wewe Jizzy1 ni ke au me...karibu
 
Last edited by a moderator:
Asanteni wanajamii wote kwa ukaribisho murua, am so glad honestly, my sis fixed point, mimi49, Babu Aspirin, mkuu Watu8 na wengineo ninawatoa shaka kuwa 1. Mimi ni - me babu alikuwa so curious at least apate kipasha joto lol. 2. Dis z ma very first ID, sikuwahi kujisajili kabla ila nimekuwa mgeni kwa kipindi kirefu kiasi namudu mambo kadhaa na pia kuziifahamu ID zenu na hata character kulingana na ID ( wether they are real or fake its another issue) last but not least ninawashukuru na ninawapenda. Bless.
 
yaani hapo nilipaona mwe ila nikaamua kumezea mpaka mtani wangu watu8 akaifurumua....
mi nadhani huyu ni mwenzetu, ila tu hatujui sasa karudi vipi na kwa sababu gani atoke kivingine
Mkuu Fixed Point hiyo ni big no, sijawahi kuwa na I'd Jf hii ndio ya kwanza trust me, kwe gender nakumbuka hata mheshimiwa cna dada Kongosho kipindi cha nyumbani nlikuwa naona watu wana doubt if its he or she, labda sababu za kiuandishi (no insult intended) kwangu pengine its ma first thread na sikuwa nimefanyia kazi profile.
 
cc. Asprin, watu8.....
Mgeni anajua hadi utata wa jinsia ya Kongosho!!!!!!
hii kali
 
Last edited by a moderator:
mmmhhhhhhhhhhhhh, hebu tuambie character ya Kaizer ukimaliza endelea na ya King'asti...... lol!
babu Asprin uione hii
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa at last umeamua kufanya kazi ya babu Aspirin??? Mwambie nasimama imara lols. Amekuwa so curious n smart au huku ndani kila Abiria ameshamakinika na wake??? Am just curious.....
Sio kila abiria ana wake halafu sasa mbona umemwaga mchele kwenye kuku wengi unataka babu Asprin aniite chumbani mi staki hata sijui nitapewa adhabu gani uwiiii alishasema Filipo asisikie ukijibu haaaa
 
Last edited by a moderator:
Karibu sana jamvini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…