Foundation
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 1,421
- 606
Mbona inaonekana kama sio mgeni. Au ndio multi........................
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heshima kwako mkuu Faiza Foxy, nimeelewa concern yako, cna maana hizo ila J it's ma initial so nikaongeza mbwembwe tu thou tusiipe uzito wowote. Asante.Dah sina budi kukukaribisha lakini hiyo id yako unaijuwa maana yake na umefanya kusudi au uliiweka bahati mbaya tu?
Kwa wasioelewa fata link:
Urban Dictionary: Jizz
Urban Dictionary: jizzy
Hahahaaaa at last umeamua kufanya kazi ya babu Aspirin??? Mwambie nasimama imara lols. Amekuwa so curious n smart au huku ndani kila Abiria ameshamakinika na wake??? Am just curious.....
Mkuu Fixed Point hiyo ni big no, sijawahi kuwa na I'd Jf hii ndio ya kwanza trust me, kwe gender nakumbuka hata mheshimiwa cna dada Kongosho kipindi cha nyumbani nlikuwa naona watu wana doubt if its he or she, labda sababu za kiuandishi (no insult intended) kwangu pengine its ma first thread na sikuwa nimefanyia kazi profile.yaani hapo nilipaona mwe ila nikaamua kumezea mpaka mtani wangu watu8 akaifurumua....
mi nadhani huyu ni mwenzetu, ila tu hatujui sasa karudi vipi na kwa sababu gani atoke kivingine
cc. Asprin, watu8.....Mkuu Fixed Point hiyo ni big no, sijawahi kuwa na I'd Jf hii ndio ya kwanza trust me, kwe gender nakumbuka hata mheshimiwa cna dada Kongosho kipindi cha nyumbani nlikuwa naona watu wana doubt if its he or she, labda sababu za kiuandishi (no insult intended) kwangu pengine its ma first thread na sikuwa nimefanyia kazi profile.
mmmhhhhhhhhhhhhh, hebu tuambie character ya Kaizer ukimaliza endelea na ya King'asti...... lol!Asanteni wanajamii wote kwa ukaribisho murua, am so glad honestly, my sis fixed point, mimi49, Babu Aspirin, mkuu Watu8 na wengineo ninawatoa shaka kuwa 1. Mimi ni - me babu alikuwa so curious at least apate kipasha joto lol. 2. Dis z ma very first ID, sikuwahi kujisajili kabla ila nimekuwa mgeni kwa kipindi kirefu kiasi namudu mambo kadhaa na pia kuziifahamu ID zenu na hata character kulingana na ID ( wether they are real or fake its another issue) last but not least ninawashukuru na ninawapenda. Bless.
Sio kila abiria ana wake halafu sasa mbona umemwaga mchele kwenye kuku wengi unataka babu Asprin aniite chumbani mi staki hata sijui nitapewa adhabu gani uwiiii alishasema Filipo asisikie ukijibu haaaaHahahaaaa at last umeamua kufanya kazi ya babu Aspirin??? Mwambie nasimama imara lols. Amekuwa so curious n smart au huku ndani kila Abiria ameshamakinika na wake??? Am just curious.....
Karibu sana jamvini.Habari wana jamii, ninafuraha kubwa kujiunga rasmi naiJF home of great thinkers kwa muda mrefu nimekuwa naingia kama guest, kwa kifupi nimepata faida nyingi sana kwa mada zenu mahususi. Ni natarajia kupata ushirikiano kutoka kwenu. Natanguliza shukrani, nawatakia baraka tele
Huyu mwenyeji kabisa.