Nimwaka wa tatu Sasa natafuta mchumba wa kuowa, lkn Kila nikipambana kutafuta naangukia pia, naombeni maelekezo websaiti nayoweza PATA wachumba... Ata group la mamanzi wa kizungu mm fresh... Nisaidien jmn
Angalizo: Kama Kuna bibie yeyote Alie nielewa anichek tufanye maisha