DuhNAOMBA KUULIZA JE UNAWEZA KUCHEZA GAME LA DREAM LEAGUE SOCCER 2019 KWENYE IPHONE 11ππ½
Nimekuelewa sana mkuu But Hata vidole vya mikono havilingani hapa tupo rika tofauti tofauti na majukumu pia tofauti hayo magame tunakaa nayo kwenye simu coz kuna muda mtu una refresh akili ππ½ππ½ππ½Nimejaribu kuwaza na kutafakari:
Hivi mtu anayeuliza mambo ya magemu humu anaweza kuwa na umri gani? Je, amekomaa kiakili, kihisia, kifikra? Je, ana majukumu yoyote ya kifamilia au kikazi?
Mleta mada nisamehe kwa hizo hoja zangu, mimi ni old school.