Habari wana JF, nikaribisheni mwanachama mpya

Ezbontz

New Member
Joined
Dec 28, 2022
Posts
4
Reaction score
0
Jamani nawasalimia wanaJF mimi ni member mpya ndani ya JF.

PAMOJA SANA WANA JF.
 
New members
Nielekezeni chimbo zinapopatikana hadithi na simulizi za kijasusi wakuu nikachimbue au nipe Jona la simulizi nikaitafute
 
Nenda jukwaa la entertainment anza na simulizi ya "Peniela" utapata na zingine huko.
 
New members
Nielekezeni chimbo zinapopatikana hadithi na simulizi za kijasusi wakuu nikachimbue au nipe Jona la simulizi nikaitafute
Ingia search Simulizi ya ...... apo kwenye vidoti unaweza ukaandika kwa mfano "ya kijasusi" au "ya vita" na utaletewa nyuzi zenye hayo maneno. utakutana na simulizi tamu sana humu ndani JF
 
Back
Top Bottom