Hujaeleweka. yaani wewe hupigi kazi, wewe ni kusimamia tu?. Halafu Dsm hakuna mashamba mengi labda nje kidogo kwa vibosile kivule, tegeta bunju. Lakini mashba hasa ni nje kama kisarawe bagamoyo mkuranga n.kKwa yoyote aliepo dar es salaam na anamiliki shamba sehemu yoyote ile ya dar na shamba limemshinda kwenye usimamizi
Liwe shamba la mifugo
Au shamba la mazao yoyote yale
Kijana wenu naomba ajira ya usimamizi wa mashamba yenu taaluma yangu ni kilimo na mifugo pia Kama unashamba lenye vijana wakazi ila usimamizi haupo vizuri natoa elimu juu ya usimamizi bora wa mashamba kwa maelewano
Kwa alie tayari tafadhari ani pm kwajili ya maelewano