R Reagan2020 New Member Joined Sep 25, 2020 Posts 2 Reaction score 0 Sep 27, 2020 #1 Nilikuwa naulizia kuwa hivi inawezekana kupata online copy ya result slip pamoja leaving certificate ya form four?
Nilikuwa naulizia kuwa hivi inawezekana kupata online copy ya result slip pamoja leaving certificate ya form four?
Ralphsams JF-Expert Member Joined Sep 24, 2020 Posts 347 Reaction score 350 Sep 27, 2020 #2 Kwakeli online hiyo process hakuna,labda ufike shule uliyomaliza ulipie then wakiombe tena, pia itachukua mda, umemaliza mwaka gani!?
Kwakeli online hiyo process hakuna,labda ufike shule uliyomaliza ulipie then wakiombe tena, pia itachukua mda, umemaliza mwaka gani!?
R Reagan2020 New Member Joined Sep 25, 2020 Posts 2 Reaction score 0 Sep 28, 2020 Thread starter #3 Ralphsams said: Kwakeli online hiyo process hakuna,labda ufike shule uliyomaliza ulipie then wakiombe tena, pia itachukua mda, umemaliza mwaka gani!? Click to expand... Nmemaliza 2013
Ralphsams said: Kwakeli online hiyo process hakuna,labda ufike shule uliyomaliza ulipie then wakiombe tena, pia itachukua mda, umemaliza mwaka gani!? Click to expand... Nmemaliza 2013
mind bringer Senior Member Joined Oct 19, 2017 Posts 170 Reaction score 51 Sep 29, 2020 #4 Reagan2020 said: Nmemaliza 2013 Click to expand... nenda shulen ulipomaliziaa utavikutaa hua hazipoteii hizo nyalaka
Reagan2020 said: Nmemaliza 2013 Click to expand... nenda shulen ulipomaliziaa utavikutaa hua hazipoteii hizo nyalaka