Habari wana JF

Habari wana JF

luhota

Member
Joined
May 16, 2010
Posts
27
Reaction score
1
Mimi ni mwanachama mpya, Nategemea kujifunza mengi, na pengine kuwa na michango itakayosaidia wengine!!!
 
Asante,Nipo vizuri!!Bila shaka upo vizuri pia..
 
Asanteni sana,genekai nimesikia ushauri wako!!!
 
Asanteni sana,genekai nimesikia ushauri wako!!!

na kweli umeufanyia kazi...duh umenikumbusha mbali sana na hiyo avatar...mimi nilikuwa sitaki kabisa hiyo shughuli na mara zote nilikuwa nafanyiwa kwa nguvu na lazima niwe nalia

 
karibu sana, mkuu, hekima na uvumilivu vikawe ngao yako,
jisikie huru na amani
 
Back
Top Bottom