Habari wanajamii

Habari wanajamii

Jah bless

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2013
Posts
276
Reaction score
463
Naombeni msaada kati ya hizi sentensi ipi ipo sahihi.
1. Tuipe mvuto sura.
2. Tuipe sura mvuto.
 
Tofauti hapo ni matumizi ya lugha tu.

1. ni lugha ya kimashairi_ili iweze kuimbika au kuleta upatanisho wa vina na mizani

2. ni Lugha fasaha( ya moja kwa moja)

Sentensi zote hizi ni sahihi-kutegemea na matumizi yako.
 
Back
Top Bottom