Habari wanaJamiiForums

Habari wanaJamiiForums

fofre

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2016
Posts
805
Reaction score
1,307
Natumaini mu wazima wa afya na mnaendelea vizuri na ujenzi wa taifa, ni mgen humu jamii forum naomba kukaribishwa..
 
Nimeamua kujiweka mapokezi Leo kwa ajili ya kupokea wagen tu
 
samahani kumbe ulikuwa unakandambili! haya nimeziona asante kwa kuvua
wazee%2Bwa%2Bkandambili.jpg
kuvua viatu tena?, lkn nashukuru kwa kunikaribisha nitavua..
 
Karibu sana,uone hoja nzito na nyingine zenye utoto mwingi maana humu wapo mpaka miaka 20.
 
Back
Top Bottom