Habari wapendwa wa jammii forum

Habari wapendwa wa jammii forum

Mbelwa Germano

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2011
Posts
789
Reaction score
289
Napenda kuomba kuwa mwanachama mpya wa jammi forum!
Kwanza nawapongeza wote wale walokaaa na kubuni chombo hiki ambacho kinaelimisha jammi, Hongereni sana na mungu awasaidie na awajalie maisha marefu zaidi.
Pili naomba kuungwa mkono kwa michango yangu nitakayo kuwa naitoa humu ndani ya jammi forum,
Asanteni sana Mungu awe nanyi daima
Philip LULINDA
+255 785 83 96 69
 
Utaingiaje JF kwa mara ya kwanza kizembe hivyo? huna hata mada ya kuonesha unaweza kuendana na vichwa vya humu? kama ni salamu si ungeenda hata kule facebook tunapatikana.
 
Mods naomba kuwe na sehemu ya ku dislike na dole lake liwe kubwa halafu li point chini!!
 
Napenda kuomba kuwa mwanachama mpya wa jammi forum!
Kwanza nawapongeza wote wale walokaaa na kubuni chombo hiki ambacho kinaelimisha jammi, Hongereni sana na mungu awasaidie na awajalie maisha marefu zaidi.
Pili naomba kuungwa mkono kwa michango yangu nitakayo kuwa naitoa humu ndani ya jammi forum,
Asanteni sana Mungu awe nanyi daima
Philip LULINDA
+255 785 83 96 69
Umeshaingia unaomba nini tena?
mwanachama mpya? unataka uwe mpya kwa mda gani?
 
Back
Top Bottom