Habari wateule wenzangu na RIP kwa wote wasioiona

Habari wateule wenzangu na RIP kwa wote wasioiona

chiefnyumbanitu

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2015
Posts
906
Reaction score
426
Habari za asubuhi wana JF mimi nashukuru nmeteuliwa tena Na Mungu kuiona siku hii ya leo, lengo langu kujua wana JF wenzangu mmeteuliwa kuiona siku hii?'

Na r.i.p kwa wote wasioiona siku hii.
 
Duuh ujumbe wako unatisha mkuu, mpka naanza kuwaza ntaamka kwel?
 
Back
Top Bottom