Habari ya jiji Nissan patrol nismo

Ipi sifa zake?ainisha sifa zale hasa kona ya gjafla tukio la ghafla ubora wa breki hasa za ghafla stamina ya mwendo barabarani hasa kwenye rat roads uwezo wa mwanga wa taa uwezo wa kuinuka uturivu wa ndani hasa kwenye korogetion nk.ebu ainisha hayo
Wamezicompare dhid ya land cruiser
 
kila mtu na chaguo lake but according to me na serikal yangu haiwezi nunua hilo gari hata lingekuwa 100m halijakidhi viwango wala halina features nying kama cruiser v8... body na interior tu ndo nzur....


google patrol na cruiser v8 @ carbuyer au caradvice
 
Hili ndo gari ya Magufuli nyengine
Ukiachilia ile BMW
 
Mh. Anatembelea km hilo mjini n kipindi kile cha uchaguzi ndio nikakiheshimu ilo gari
 
Jaribu uone Tesla model X SUV
Utayatukana hayo ma combustible

Nakubali kama nigari yako ya kilasiku mjini. Ila kama ni road trip kijijini na familia usicheze na infiniti qx80
 
Nakubali kama nigari yako ya kilasiku mjini. Ila kama ni road trip kijijini na familia usicheze na infiniti qx80
Kwa dunia tunayoiishi sasa hiyo qx80 ni old fashioned, like mbaula kwa msomali.
 
Kwa dunia tunayoiishi sasa hiyo qx80 ni old fashioned, like mbaula kwa msomali.
Haya maneno ni yakweli jaman? Cheki mashine bii qx80?
 

Attachments

  • Screenshot_2017-07-08-19-21-37.png
    234.9 KB · Views: 61
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…