Habari ya jiji Nissan patrol nismo

Habari ya jiji Nissan patrol nismo

Nakumbuka hili NHIF waliwahi kumnunulia waziri wa afya baada ya kugundua kuwa 'alikuwa na shida ya usafiri'!
Hii ilikuwa kwenye regime iliyopita na nadhani mnaonielewa mnanielewa.
 
Watanzania wengi hatujui magari zaidi ya toyota nissan ila kuna mashine hizo toyota na nissan ni wachumba mfano hii hapa ni INFINITY USA Utalinganisha na toyota L/cruiser nissan??

Samsung SH 8 Mobile Traveller
INFINITY ni premium brand ya Nissani hio linganisha na LEXUS ambayo ni premium brand ya Toyota.
 
Back
Top Bottom