Hivi lipo gari lenye nguvu ,zuri na chaguo la wajanja kama hii nissan patrol nismo. Isee kama una mihela yako nakusihi kaitupie kwenye hili gari utanishukuru mileleView attachment 537405View attachment 537406
Nakumbuka hili NHIF waliwahi kumnunulia waziri wa afya baada ya kugundua kuwa 'alikuwa na shida ya usafiri'!
Hii ilikuwa kwenye regime iliyopita na nadhani mnaonielewa mnanielewa.
Watanzania wengi hatujui magari zaidi ya toyota nissan ila kuna mashine hizo toyota na nissan ni wachumba mfano hii hapa ni INFINITY USA Utalinganisha na toyota L/cruiser nissan??