Habari ya Kusikitisha: Janeth Mbene na Double Tree Hotel wanaendeleza unyanyasaji

Joined
Sep 30, 2012
Posts
21
Reaction score
15
Muda huu hapa Masaki, yule kijana ambaye niliwahi kutoa taarifa kuwa anataka kudhulumiwa haki yake amevamiwa tena na wafanyakazi wa Manispaa ya Kinondoni na wameendelea kubomoa.

Kijana huyu juzi J'pili alikamatwa akawekwa polisi lakini baada ya kujieleza jana akaachiwa bila kufunguliwa mashtaka yoyote. Inasemekana Mkurugunzi bwana Fwema amepokea shinikizo kwa Janeti Mbene ambaye anasisitiza kumtoa huyo kijana ili yeye na mfadhili wake mkuu wa uchaguzi wa CCM, mmiliki wa Double Tree waweze kukimiliki hicho kiwanja.

Muda huu nimeshuhudia kijana wa watu akihangaika kuwasihi wabomoaji wasiendelee na ubomoaji lakini wamegoma. Mwanasheria wa Manispaa ametoa ushauri wake lakini umegomewa na ubomoaji unaendelea.

Inasemekana wakati Janeti anaenda Dodoma kwenye uchaguzi wa CCM alimhakikishia tajiri wa Double Tree kuwa hilo eneo atalipata tu na asiwe na wasiwasi na akaahidi akirudi toka Dodoma atashughulikia na ujenzi wa parking ya magari utafanyika hivi punde. Tajiri huyo alifurahi sana na akamwagia Janeti Mbene mapesa na ndiyo maana ubomoaji unaendelea mpaka sasa.
 
Muda huu hapa Masaki, yule kijana ambaye niliwahi kutoa taarifa kuwa anataka kudhulumiwa haki yake amevamiwa tena na wafanyakazi wa Manispaa ya Kinondoni na wameendelea kubomoa.

Kijana huyu juzi J'pili alikamatwa akawekwa polisi lakini baada ya kujieleza jana akaachiwa bila kufunguliwa mashtaka yeyeto. Inasemekana Mkurugunzi bwana Fwema amepokea shinikizo kwa Janeti Mbene ambaye anasisitiza kumtoa huyo kijana ili yeye na mfadhili wake mkuu wa uchaguzi wa CCM, mmiliki wa Double Tree waweze kukimiliki hicho kiwanja.

Chafu sana hii
 
Nafikiri jamaa asipokubali yaishe itageuka kuwa ishi ya uhai si kiwanja tena...believe me.......
 
Who is Janeth Mbene? Nimeshawahi kumwona kwenye Tv lakini sifahamu wasifu wake.
 
Hivi hakuna namana zaidi ya kufanya hhili jambo lika piga hatua mbele, maana sasa imekuwa kama dua la kuku...?
 
jamani - so sad - ALL ANIMALS ARE EGUAL BUT SOME ARE MORE EQUAL THAN OTHERS.
 
Mwisho ataondolewa uhai ili kuondoa kabisa bughudha, hawa watu wenye hela wana nguvu sn hasa katika nchi maskini kama hizi zetu.
 
Wale wanaharakati na watetezi wa haki za binadamu wako wapi wajameni? Mbona hii issue ni ya muda kitambo, inamaana wameshindwa kumsaidia?
 
Muda huu hapa Masaki, yule kijana ambaye niliwahi kutoa taarifa kuwa anataka kudhulumiwa haki yake amevamiwa tena na wafanyakazi wa Manispaa ya Kinondoni na wameendelea kubomoa.

Kijana huyu juzi J'pili alikamatwa akawekwa polisi lakini baada ya kujieleza jana akaachiwa bila kufunguliwa mashtaka yeyeto. Inasemekana Mkurugunzi bwana Fwema amepokea shinikizo kwa Janeti Mbene ambaye anasisitiza kumtoa huyo kijana ili yeye na mfadhili wake mkuu wa uchaguzi wa CCM, mmiliki wa Double Tree waweze kukimiliki hicho kiwanja.

Muda huu nimeshuhudia kijana wa watu akihangaika kuwasihi wabomoaji wasiendelee na ubomoaji lakini wamegoma. Mwanasheria wa Manispaa ametoa ushauri wake lakini umegomewa na ubomoaji unaendelea.

Inasemekana wakati Janeti anaenda Dodoma kwenye uchaguzi wa CCM alimhakikishia tajiri wa Double Tree kuwa hilo eneo atalipata tu na asiwe na wasiwasi na akaahidi akirudi toka Dodoma atashughulikia na ujenzi wa parking ya magari utafanyika hivi punde. Tajiri huyo alifurahi sana na akamwagia Janeti Mbene mapesa na ndiyo maana ubomoaji unaendelea mpaka sasa.

Kweli madaraka ni Pombe! Yaani Mbene amalewa haraka kihivyo? Amesahau alikotoka?
 
faida ya kutoa uvungu kwa wakubwa! huyo janeth atakuwa keshampa kaizari yaliyo yake na ..........., yaliyo yake! napita tu hapa!
 
kidumu chama cha mapinduzi.............

ndo sera zake hizo au hamjui kuwa ni "chukua chako mapema" hata kama cha "dhuluma?"

ccm oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

yatawageukia haya...........ngoja 2015
 
chanzo chako cha habari kimeegemea upande mmoja
hebu rudi upande wa pili ufatilie sakata zima ndo utoe taarifa hapa jf
 
Back
Top Bottom