Mkuu, unaongelea kuhusu wale watu walioenda kugombania elfu Moja toka kwa Irene Uwoya? Kama ni hao tambua kuwa wengi wao ni vishoka hawana hata hiyo taaluma ya uandishi.Tanzania vyombo vya habari havijui kuripoti habari[emoji115][emoji115][emoji115] hata theastafrican newspaper inavishinda. Eti mahakama kuunganishwa na mkongo wa taifa[emoji107][emoji107][emoji107] badala kuchambua upanuzi wa mkongo wa taifa katika mahakama kiundani. Wanaripoti tukio badala kuchambua mipango ya ttcl. Hii inatokana na kukosa waandishi waliobobea fani hiyo. Mimi sijasoma hayo mambo lakini naona mapungufu yao upande wa hizi habari na nichache sana kutolewa hata sijui tunakwama wapi!?
magazeti yote nchini ukitoa ya kiingeleza ambayo angalau wananitaidi kutoa report nzuri mengine yaliyobaki hakuna kitu habari chache mpaka wafanyabiashara wananunua theeastafrican newspaper kuzipata hata kwenye TV za bongo hovyoMkuu, unaongelea kuhusu wale watu walioenda kugombania elfu Moja toka kwa Irene Uwoya? Kama ni hao tambua kuwa wengi wao ni vishoka hawana hata hiyo taaluma ya uandishi.