Ros tomas
Member
- Dec 11, 2017
- 48
- 36
Tanzania vyombo vya habari havijui kuripoti habari👆👆👆 hata theastafrican newspaper inavishinda. Eti mahakama kuunganishwa na mkongo wa taifa👎👎👎 badala kuchambua upanuzi wa mkongo wa taifa katika mahakama kiundani. Wanaripoti tukio badala kuchambua mipango ya ttcl. Hii inatokana na kukosa waandishi waliobobea fani hiyo. Mimi sijasoma hayo mambo lakini naona mapungufu yao upande wa hizi habari na nichache sana kutolewa hata sijui tunakwama wapi!?