FM naona uko mbali na hoja ya MKJJ, haukatazwi kuchagua upande, na ukisha chagua upande huna haja ya kusema, kwani hoja yako inajitosheleza kuona uko tofauti na MKJJ! kusema na kuutangazia umma kuwa uko kinyume nae kun tatizo hapa(Inf-cmplx).
Gazeti , au hiyo habari haijatoa habari kama vile inafundisha ubaya wa hii tabia katika jamii, tumeona kama inapromote au KUWAFUNGUA MACHO WATU WASIOJUA HII KITU.
Angalia maneno haya!
1. Alikuwa analia kwa mahaba
2. Alikuwa na kitu mfano wa uume!
3.Sina mume nipo singo! kusagana ni mchezo ninaoupenda!!
4. Miguno ya mahaba
Mzee haya maneno unaweza ukayasema mbele ya watoto wako??
Kufundisha ubaya wa hili swala ni tofauti na kudescribe hili swala, kudscribe kunamwachia msiklizaji aamue yeye mwenyewe, kuwa japo kuna ubaya kumbe pia kuna uzuri! Tunapofundisha watoto ubaya wa kitu fulani lets say Ngono we only describe bad things, na kuwa anaruhusiwa kufanya ngono wakishaoana. HAKUNA UZURI WOWOTE WA KUMWELEZEA MTU KUHUSU USAGAJI!
FM naona uko mbali na hoja ya MKJJ, haukatazwi kuchagua upande, na ukisha chagua upande huna haja ya kusema, kwani hoja yako inajitosheleza kuona uko tofauti na MKJJ! kusema na kuutangazia umma kuwa uko kinyume nae kun tatizo hapa(Inf-cmplx).
Gazeti , au hiyo habari haijatoa habari kama vile inafundisha ubaya wa hii tabia katika jamii, tumeona kama inapromote au KUWAFUNGUA MACHO WATU WASIOJUA HII KITU.
Angalia maneno haya!
1. Alikuwa analia kwa mahaba
2. Alikuwa na kitu mfano wa uume!
3.Sina mume nipo singo! kusagana ni mchezo ninaoupenda!!
4. Miguno ya mahaba
Mzee haya maneno unaweza ukayasema mbele ya watoto wako??
Kufundisha ubaya wa hili swala ni tofauti na kudescribe hili swala, kudscribe kunamwachia msiklizaji aamue yeye mwenyewe, kuwa japo kuna ubaya kumbe pia kuna uzuri! Tunapofundisha watoto ubaya wa kitu fulani lets say Ngono we only describe bad things, na kuwa anaruhusiwa kufanya ngono wakishaoana. HAKUNA UZURI WOWOTE WA KUMWELEZEA MTU KUHUSU USAGAJI!
waberoya heshima yako mkuu,
Naomba kukuuliza mkuu, kulingana na hayo maneno, je, haya magazeti ya 'udaku' yanawafanyakazi wenye taaluma za uandishi mfano wahariri waowamesomea hiyo kazi au ndo kurusha chochote katika lugha 'kali' kama hiyo uliyoweka hapo juu? je, kuna haja ya kuwa na sheria inayosema mwandishi hasa wa daraja fulani awe na elimu fulani,
Wabheja,
Shadow!
Tatizo la FM ni kuwa hoja yangu inaonekana kupinga ushoga na kuwa sitaki watoto wetu wajifunze mambo ya ushoga kitu ambacho kwake yeye hana tatizo nacho. Kwa sababu, mtu akipinga ushoga anaonekana kupinga haki za watu na ya kuwa yawezekana ana mawazo ya kizamani.
Kutokana na mtazamo wake huo (jinsi alivyoutetea na mimi nilivyoulewa) ana miss kabisa hoja yangu inayohusu maadili ya ngono kwa watoto na role ya serikali. Mfano wa kusagana ni mfano mmoja tu wa mambo ya ngono; kwangu mimi hauna tofauti kabisa na kuandika kwa uwazi kuhusu kumfuma mtu akijichua na kusimulia kuwa alishika sabuni ya mbuni mkono gani!
Kuna mambo ambayo watu wazima wanaweza kufanya au kuzungumza katika rika lao, lakini kwa watoto kuna mambo ni muhimu tuyacheleweshe ili waweze kukomaa kiakili, kivionjo na kimaumbile. Yeye, haoni tatizo hilo la kutoa hizo habari to such impressionable teens.
Nakubalana na Mwanakijiji ya kua[/B] ni vema kukawa na sela kuhusu magazete hayo Wapi ya uzwe , kuanzia umrigani mtu anaruhusiwa kununu n.k.Cha kusikitisha serikali yetu au viongozi wetu wapo sio kulinda masilahi ya jamii bali masilahi yao binafsi.Watakuja juu na kuyakemea na kuyandama magazeti yale yatayofichua ufisadi na uozo wao.Magazeti yatakayo yagusa majina yao,watoto zao jamaa zao n.k.Kwa upande mwingine serikali yetu inafurahia magazeti haya ya udaku (Yasiyo wagusa wao na familia zao)Kwa sababu yanawasaidi katika kuamisha mawazo ya jamii kutoka katika kufuatilia maswala muhimu{ufisadi,rushwa na uozo mwingine katika serikali na viongozi wetu ambapogharama yake anailipia mlala hoi} Nafikiri hii ndiyo sababu kuu ya serikali kutoliona -kwa makusudi - tatizo hili na madhara yake katika jamii.Mungu ibariki tanzania
Hapana, Mkuu. Ninachokupinga ni kuwa unajaribu ku-demonize homosexuality kwa kutumia kisingizio cha kulinda morals za minor wetu! Hiki kitendo kwangu mimi ni insidious. Ingawa unajaribu kukwepa lakini mifano yako ya kuwa homosexuals wana corruptive influence katika jamii (uki-quote wagiriki wa kale) na kuwa ni criminal act inakusuta. Unamorph homosexuality na ushoga, kitu ambacho si sahihi. Homosexuals ni wote wanaotendewa na wanaotenda wakati katika jamii yetu shoga ni yule anayetendewa tu. Huyu ndiye tunaemlaani wakati mtendaji tunamkubali! Unawashutumu mashoga na wasagaji kuwa wana corrupt minors wakati ushahidi wote ni tofauti na hapo. Maishani mwangu ni shoga mmoja tu ambae nimesikia akiwarubuni vijana. Huyu alikuwa mwalimu mmoja wa kihindi katika shule ya Tambaza. Lakini ni mara chungu mzima nimesikia habari za wale ambao wanajihesabu kuwa wanaume rijali wakiwabaka watoto wadogo wa kiume au vijana wa kiume walioonekana kuwa wana mienendo ya kike! Magazeti yetu yamejaa kesi kibao za hao wanaojihesabu kuwa heterosexuals wakiwabaka watoto wadogo lakini wewe una-insinuate kuwa ni hawa homosexuals ndiyo wanao corrupt watoto wetu?
Tofauti na unachotaka kusema, sipingi serikali kuwa na miongozo ya kitu gani kinapaswa kuwa accessible kwa minors (Teens sio lazima awe minor). Napinga aina zote za child pornography ( hetero au homo). Napinga accessibility ya hardcore na hata softcore porn kwa minors. Tofauti yangu na wewe ni kuwa kupinga kwangu hakuna maana kuwa masuala yanayohusu ngono hayana nafasi katika public arena. Naamini ni kwa kuyazungumza wazi wazi ndiyo hao minors watajifunza namna ya kuwa responsible katika behaviour yao. Sasa tuki -criminalize maneno kama kusagana, kubaka, kujichubua, dildos n.k. tunawafundishaje hawa vijana wetu athari za kuendekeza mambo haya?
Maneno aliyoyatoa Waberoya ni offensive lakini hauwezi ukayaita pornographic. Binafsi, sioni tatizo la kuyatumia mbele ya watoto. Kwa mfano kuna ubaya gani mtu kukiri kuwa yeye ni msagaji? Au mtu kulia kwa mahaba? Mbona hatuoni tatizo kuimba kuwa nalia kwa mahaba? Tatizo ni kuwa hiki kitu kiko kwenye print? Vile vile sioni tatizo kuzungumzia hicho kifaa kinachofanana na utupu wa mwanaume kama vile kuzungumzia utupu wa mwanaume au mwanamke. Matatizo ya hizi false morals katika jamii yetu zinatuzuia hata kuzungumzia vitu ambavyo ni basic. Kama tunaona aibu kuzungumzia sanitary pad ( nakumbuka jinsi tangazo la Always lilivyopigwa vita), tutamfahamisha vipi binti yetu kuhusu mabadiliko katika mwili wake? kama tunaona aibu kutaja kondom na utupu wa mwanaume, tutamfundisha vipi kijana wetu namna ya kuepukana na haya magonjwa ya siku hizi?
Hivi kweli, Waberoya unaamini kuwa tusipozungumzia usagaji basi vitendo hivyo havitafanyika? Mbona Zanzibar wana ngoma ya sumsumia hata kabla ya magazeti ya udaku kuanza kutamba hapa kwetu? Mbona kwenye Chakacha ( ambako watoto wadogo hawazuiwi kuhudhuria) mashoga wamekuweko miaka nenda rudi? Tunataka kumdanganya nani kwa hizi false morals zetu?
Inawezekana, Mzee mwanakijiji alikuwa na nia nzuri lakini mfano alioutumia na maelezo yake ya baadae yanachofanya ni kumwaga petroli kwenye homophobia iliyotanda katika jamii yetu. Hiki ndicho ninachokipinga.
Amandla.....
mtoto wangu wa kike baada ya kusoma gazeti hili ambapo kichwa hicho cha habari kipo ukurasa wa mbele kauliza "Baba kusagana ndiyo nini"?..
My friend, the story has kwazad me much. Tutaruhusiwa kweli kuwalea watoto wetu tupendavyo na kuwafundisha kwa kadiri tunavyopima muda wa kuwaambia mambo fulani? Au wanataka kutulazimisha tuwakataze kutuuliza uliza maswali ya kipuuzi ili watu wengine "wawafunze"?
FM there is no simple words or any justification ya kuwaita kwa lugha nzuri sana na ya kupendeza hao homosexual, mashoga na wanaofanana na hao! hakuna uyunani au ugiriki hizo zote ni lugha tu, katika jamii yetu hawa ni wahalifu tu, kwa kizungu ni criminals kama kuna wahalifu wa wa aina mbalimbali basi hawa ni wahalifu wa uumbaji halisi wa Mungu, wahalifu wa tabia njema, wahalifu tu, name them whatever you can!
TUKIANZA KUROPOKA HAYA, BASI TUKUBALI YANAYOKUJA, akitokea mtu wa tabia tofauti na tulizokulia jamii imuonye papo hapo kwa ukali na kuwatisha wengine kujiingiza katika dimbwi hili, unaposema tuongelee hakusaidii mtu wangu, mabinti na vijana walio kwenye hali za mihemko they will practise! believe me.
Do not get confused here! Siongelei UKIMWI ninaweza kumpeleka mtoto hospitalini aone wagonjwa wa ukimwi, naweza kuongelea ukimwi kwa mifano na watoto wakanielewa.
Ni mifano gani utakoyomzungumzia mtoto wako kuhusu ukimwi bila kutaja kujamiana? Neno unalotaka lipigwe marufuku?
Amandla........
Naona hatuelewani kaka, umeshaweka layer ya unachoamini na hutaki jipya, hata kama linafanana na lako ilakwa stayle tofauti. Nimefurahi at least kumwona mtanzania ambaye yuko tayari kuongea na watoto wake kuhusu Lesbian na gay issues.
I bet, next time wakija wanataka wawe mashoga na wasagaji , kindly wapokee na wakubali, maana hakuna athari za usagaji na ushoga, you know what they will tell you? HAKI ZA BINADAMU
thats why solution is never talk about it, ukisikia ni adhabu kwa kwend mbele! ukiruhusu waongee ongee na discussion ziendelee thn, unawapa mwanga zaidi wa kuwa convinced na akina Maureen!
naona tuko boti tofauti mkuu!
EBU NIKUULIZE SWALI MKUU, NAONA UNASEMA USHOGA NA USAGAJI NI M'BAYA KATIKA JAMII, nijibu tu hili swali then kutoka hapo tutaanza discussion mpya
NINI ATHARI ZA USAGAJI NA USHOGA KATIKA JAMII??
Do you have empirical evidence to support your claim?On the contrary, heterosexuals ndiyo wanaoongoza kwa kufanya vitendo vinavyodhuru jamii.
Kwako shoga ni yupi? Anayemega mwanamme mwenzake au anayemegwa na mwanamme mwenzake?Ni mara ngapi umesikia shoga amembaka mtoto mdogo?
Ndio maana nikauliza hapo juu, homosexual ni yupi? Sasa kama wahalifu wanapokamatwa hatuambiwi mwelekeo wao wa kijinsia ukoje nini kinachokufanya udhanie kila mbakaji wa watoto wadogo ni "heterosexual"?lakini mbona kila kukicha tunasikia heterosexuals wanakamatwa kwa kubaka watoto wadogo lakini hatuwalaumu kuwa wanafanya hivyo kutokana na sexual orientation yao?