Mwalimu wa masomo ya computer na kiingereza anatafuta kazi,pia ana uzoefu katika ku repair computer kwa sababu ana advanced diploma ya it na advanced diploma ya lugha ya kiingereza,ana uzoefu wa kutosha na ana vifaa vya it kama vile softwares/programs nk..anapendelea kufanya kazi maeneo ya mkuranga na temeke...ongea nae moja kwa moja kwa lugha yetu ya taifa/kiswahili au kiingereza muda wowote..simu..0712805697/0688850727