Habari za uhakika Mayele anarudi Tanzania na anasajiliwa Azam FC

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
20240301_132633.jpg

Habari za uhakika nilizopata ni kwamba Mayele ameshamalizana na Azam FC na atatua Chamazi kukiwasha.

Zile kelele kuhusu Yanga alikuwa anawaandaa kisaikolojia mashabiki wa yanga ambao wanaenda kuwa maadui zake wapya.

Soka letu kivyetuvyetu.
 
Hakuna, haji Azam huyu, anaenda simba, Azam hatutaki reject za watu
 
Unategemea kuja kwake Tz ndio yanga itateteleka?, Mafanikio ya mpira yana mipango mingiiii ndani na nje ya uwanja. Ameondoka yeye, juma shabani, Bangala na feisal. Vipi yanga imeporomoka au ndio imeimalika zaidi?. Asitegemee makubwa Kama aliyofanya yanga... Kila Zama na upepo wake.
 
Shida Mayele anapenda sifa, amemiss zile sifa na hype alikuwa anapewa na wabongo.

Kwa bahati mbaya sasa hizo sifa huwezi kupewa ukiwa nje ya Simba au Yanga.

Azam imepoa mno, inazidiwa hadi na Coastal union
 
View attachment 2921327

Habari za uhakika nilizopata ni kwamba Mayele ameshamalizana na Azam FC na atatua Chamazi kukiwasha.

Zile kelele kuhusu Yanga alikuwa anawaandaa kisaikolojia mashabiki wa yanga ambao wanaenda kuwa maadui zake wapya.

Soka letu kivyetuvyetu.
Kwa Azam mbona kama anarudi nyuma hatua 99 kwenye 100
 
View attachment 2921327

Habari za uhakika nilizopata ni kwamba Mayele ameshamalizana na Azam FC na atatua Chamazi kukiwasha.

Zile kelele kuhusu Yanga alikuwa anawaandaa kisaikolojia mashabiki wa yanga ambao wanaenda kuwa maadui zake wapya.

Soka letu kivyetuvyetu.
Kama n kweli basi sitashangaa kuona anajiunga na Tabora Utd baada ya misimu miwili...
 
View attachment 2921327

Habari za uhakika nilizopata ni kwamba Mayele ameshamalizana na Azam FC na atatua Chamazi kukiwasha.

Zile kelele kuhusu Yanga alikuwa anawaandaa kisaikolojia mashabiki wa yanga ambao wanaenda kuwa maadui zake wapya.

Soka letu kivyetuvyetu.
Uzuri Yanga waliisharamba mpunga na wanasonga mbele. Tatizo la wachezaji wa Kikongo wanapenda misifa mnoo, labda ukiondoa Lomalisa tu.
 
Sasa Porojo Zote Zile Anatutukana Dar Young Africans Kumbe Alikuwa Na Mpango Wa Kurudi Bongo
 
Back
Top Bottom