sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Umejisahaulisha Fei Toto?Hakuna, haji Azam huyu, anaenda simba, Azam hatutaki reject za watu
azam si kuna wafungaji? yapo ANTmajini huoni toto hapo anapeta anatupia anato assit?Kwa hiyo atarudi na majini?
hasara nyingine hii kwa yusufuView attachment 2921327
Habari za uhakika nilizopata ni kwamba Mayele ameshamalizana na Azam FC na atatua Chamazi kukiwasha.
Zile kelele kuhusu Yanga alikuwa anawaandaa kisaikolojia mashabiki wa yanga ambao wanaenda kuwa maadui zake wapya.
Soka letu kivyetuvyetu.
Yusuf maunga yanamchanganyahasara nyingine hii kwa yusufu
Kwa Azam mbona kama anarudi nyuma hatua 99 kwenye 100View attachment 2921327
Habari za uhakika nilizopata ni kwamba Mayele ameshamalizana na Azam FC na atatua Chamazi kukiwasha.
Zile kelele kuhusu Yanga alikuwa anawaandaa kisaikolojia mashabiki wa yanga ambao wanaenda kuwa maadui zake wapya.
Soka letu kivyetuvyetu.
Habari za uhakika?View attachment 2921327
Habari za uhakika nilizopata ni kwamba Mayele ameshamalizana na Azam FC na atatua Chamazi kukiwasha.
Zile kelele kuhusu Yanga alikuwa anawaandaa kisaikolojia mashabiki wa yanga ambao wanaenda kuwa maadui zake wapya.
Soka letu kivyetuvyetu.
Kama n kweli basi sitashangaa kuona anajiunga na Tabora Utd baada ya misimu miwili...View attachment 2921327
Habari za uhakika nilizopata ni kwamba Mayele ameshamalizana na Azam FC na atatua Chamazi kukiwasha.
Zile kelele kuhusu Yanga alikuwa anawaandaa kisaikolojia mashabiki wa yanga ambao wanaenda kuwa maadui zake wapya.
Soka letu kivyetuvyetu.
Uzuri Yanga waliisharamba mpunga na wanasonga mbele. Tatizo la wachezaji wa Kikongo wanapenda misifa mnoo, labda ukiondoa Lomalisa tu.View attachment 2921327