Habari zenu bhannaaa,bhaaaaaas!!!!!!!!!!!!

Habari zenu bhannaaa,bhaaaaaas!!!!!!!!!!!!

Karibu sana usisahau kupita na pale chit chat....
 
Haaaa kizazi cha supra na jeans za kubana!

Zembwela anasema anawapa 100 wamachinga kwa kufanikiwa kuwavalisha suruali za kike then wanawaambia modo...c unachek kaingia na salam za fb..lakin tumkaribishe..
 
Karibu sana, wapi sweetlady? kuna mgeni mwingine huku!

Nimekuja mbio Baba V ila mbona mgeni simuoni?..........akija mwambie akaribie sana............sie tuko bize na eid tutamjoin baadae!
 
Last edited by a moderator:
Hizo swaga za mgeni mimi hoi, haya karibu mgeni
 
Back
Top Bottom