Habari zenu, natoka Botswana nawasalimu sana

Nitafutie mke hapo kwa mswati.
 
..... wa botswana wabaguzi sana tena sana. Rudi bongo tujenge nchi
 
Karibu sana kilingeni mkuu!!
Tunategemea makubwa saba kutoka kwako. Ni matumaini yangu kuwa utaweza kutushirikisha fursa zilizopo huko ambazo Watanzania tunaweza kuja na kufaidika, ikiwa ni pamoja na kutushirikisha ABCDs za nini kinahitajika na nini mtu anaetamani kuja huko (either for greener pastures, kusoma au fursa za kibiashara) ni nini haswa anatakiwa kufanya, wapi pa kupita, nini cha kuwa nacho, etc.
Karibu sana kilingeni kwa mara nyingine mkuu. sekekama-the king
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…