Habari zenu?? Nimerejea jukwaani

ID yako ndio ilikua kifungoni..lakini naamini ulikua unaperuzi humu bila wasiwasi...
 
Wakuu salama hapa.

Nikaribisheni jamani jukwaani baada ya kupewa Ban ya miezi mitatu.

Heri ya krismasi na mwaka mpya.

Kadri siku zinavyokwenda nitawajuza nini kilinisibu nikiwa kifungoni huko.

Lumumba hawajambo, eti kinachofanyika kwa mzee wa mwibara ile ni kafara!! Karibu mkuu.
 
Hiyo kafara ni ya nini mkuu?? Heri ya mwaka mpya.
 
Wakuu salama hapa.

Nikaribisheni jamani jukwaani baada ya kupewa Ban ya miezi mitatu.

Heri ya krismasi na mwaka mpya.

Kadri siku zinavyokwenda nitawajuza nini kilinisibu nikiwa kifungoni huko.
Vp ulipewa nafasi ya kujitetea....
ama ulichinjwa kama mbuzi katoliki?
 
Wakuu salama hapa.

Nikaribisheni jamani jukwaani baada ya kupewa Ban ya miezi mitatu.

Heri ya krismasi na mwaka mpya.

Kadri siku zinavyokwenda nitawajuza nini kilinisibu nikiwa kifungoni huko.
karibu sana!!
 
Kwahyo posho ya buku 7 hukuwa unapata kabisa sababu hukuwa unaabudu mungu mtu wa kijaani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…