Habari zenu?? Nimerejea jukwaani

Nilikuwa nasubiri kwa hamu member mmoja humu apandishe uzi 'Mwana JF mwenzetu aitwaye Stoke amefariki' lakini imekuwa bahati mbaya.

Nisamehe bure.Tatizo nyie nzi wa kijani mmesababisha niwe na hasira nanyi sana.
 
Tehe tehe, Happy New Year!!
 
Wakuu salama hapa.

Nikaribisheni jamani jukwaani baada ya kupewa Ban ya miezi mitatu.

Heri ya krismasi na mwaka mpya.

Kadri siku zinavyokwenda nitawajuza nini kilinisibu nikiwa kifungoni huko.
Ile Id nyingine nayo utaacha kutumia ??
 
Wakuu salama hapa.

Nikaribisheni jamani jukwaani baada ya kupewa Ban ya miezi mitatu.

Heri ya krismasi na mwaka mpya.

Kadri siku zinavyokwenda nitawajuza nini kilinisibu nikiwa kifungoni huko.
Pole mkuu na mimi nimefunguliwa leo kutoka kifungoni nilikaa nje kwa mwezi na nusu
 
Naona Mods wa kike wameongezeka, wana gubu balaa.

Wasivyo na aibu tayari wamehamisha thread. Hasa hawa wa usiku ambao wapo nje, wana tabu sana.
 
Wakuu salama hapa.

Nikaribisheni jamani jukwaani baada ya kupewa Ban ya miezi mitatu.

Heri ya krismasi na mwaka mpya.

Kadri siku zinavyokwenda nitawajuza nini kilinisibu nikiwa kifungoni huko.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Eti heri ya krismasi na mwaka mpya!!kweli ulikuwa jela
 
Karibu kwenye tunda kimasihara tunataka tusikie nawewe ulifanyaje

rombo punguzeni pombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…