Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tehe tehe, Happy New Year!!Nilikuwa nasubiri kwa hamu member mmoja humu apandishe uzi 'Mwana JF mwenzetu aitwaye Stoke amefariki' lakini imekuwa bahati mbaya.
Nisamehe bure.Tatizo nyie nzi wa kijani mmesababisha niwe na hasira nanyi sana.
Wewe hujaja na corona huku kweli tukurudishe tena kambiniWakuu salama hapa.
Nikaribisheni jamani jukwaani baada ya kupewa Ban ya miezi mitatu.
Heri ya krismasi na mwaka mpya.
Kadri siku zinavyokwenda nitawajuza nini kilinisibu nikiwa kifungoni huko.
Ile Id nyingine nayo utaacha kutumia ??Wakuu salama hapa.
Nikaribisheni jamani jukwaani baada ya kupewa Ban ya miezi mitatu.
Heri ya krismasi na mwaka mpya.
Kadri siku zinavyokwenda nitawajuza nini kilinisibu nikiwa kifungoni huko.
Pole mkuu na mimi nimefunguliwa leo kutoka kifungoni nilikaa nje kwa mwezi na nusuWakuu salama hapa.
Nikaribisheni jamani jukwaani baada ya kupewa Ban ya miezi mitatu.
Heri ya krismasi na mwaka mpya.
Kadri siku zinavyokwenda nitawajuza nini kilinisibu nikiwa kifungoni huko.
Kwahiyo buku7 za chakubanga ulizikosa mkuu.nilikwenda likizo kabisa. sikuwa naperuzi kabisa mkuu.
Wakuu salama hapa.
Nikaribisheni jamani jukwaani baada ya kupewa Ban ya miezi mitatu.
Heri ya krismasi na mwaka mpya.
Kadri siku zinavyokwenda nitawajuza nini kilinisibu nikiwa kifungoni huko.
wanasema name koling.
Karibu tena mkuu,ungefungua ID nyingineNiliwamiss sana mkuu. Jela Mbaya.