Habari zenu wadau.. Naombeni kujua utofauti kati ya IPhone 7+ na 8 +

Habari zenu wadau.. Naombeni kujua utofauti kati ya IPhone 7+ na 8 +

Joined
Sep 15, 2018
Posts
41
Reaction score
24
wadau nlikua na shida naomben kwa MTU yeyote aloitumia 7+ na 8+ naomba anitofautishie kati ya hizo simu mbili ni ipi bora coz naona kama zote ni sawa tu ..kuanzia upande wa picha na mengine, maana nataka ninunue soon
 
8+ ina true tone. 7+ haina
Ina kioo nyuma. 7+Haina
Inasupport wireless charging 7+Hai support
Kamera ni bora zaidi kuliko 7+
 
Back
Top Bottom