Godbless mtega Member Joined Sep 15, 2018 Posts 41 Reaction score 24 Nov 1, 2020 #1 wadau nlikua na shida naomben kwa MTU yeyote aloitumia 7+ na 8+ naomba anitofautishie kati ya hizo simu mbili ni ipi bora coz naona kama zote ni sawa tu ..kuanzia upande wa picha na mengine, maana nataka ninunue soon
wadau nlikua na shida naomben kwa MTU yeyote aloitumia 7+ na 8+ naomba anitofautishie kati ya hizo simu mbili ni ipi bora coz naona kama zote ni sawa tu ..kuanzia upande wa picha na mengine, maana nataka ninunue soon
Mbwichichi JF-Expert Member Joined Dec 19, 2018 Posts 297 Reaction score 1,687 Nov 1, 2020 #2 Compare Apple iPhone 8 Plus vs. Apple iPhone 7 Plus - GSMArena.com m.gsmarena.com
The-unknown JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 1,228 Reaction score 1,447 Nov 1, 2020 #3 8+ ina true tone. 7+ haina Ina kioo nyuma. 7+Haina Inasupport wireless charging 7+Hai support Kamera ni bora zaidi kuliko 7+
8+ ina true tone. 7+ haina Ina kioo nyuma. 7+Haina Inasupport wireless charging 7+Hai support Kamera ni bora zaidi kuliko 7+
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Nov 1, 2020 #4 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: mahondaw