Na mimi nimekua mtu wa kwanza kabisa kukupa LIKE humu JF .Mimi mgeni wa kuanzisha thread ila ni mwenyeji wa kusoma habar mbal mbal humu, nimeamua kujiunga rasmi jana naomba mnipe ushiriano.
Mm ni ke umri 25 picha cwek maana hamchelew kusema hilo.
Nawatakia kazi njema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu sana, jisikie nyumbani. Lakini bahati mbaya umeingilia dirishani. Hili ni jukwaa la habari mchanganyiko. Kuna jukwaa maalum kwa ajili ya wageni kuingia.Mimi mgeni wa kuanzisha thread ila ni mwenyeji wa kusoma habar mbal mbal humu, nimeamua kujiunga rasmi jana naomba mnipe ushiriano.
Mm ni ke umri 25 picha cwek maana hamchelew kusema hilo.
Nawatakia kazi njema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kubwa ni kupata habari hayo mengine ni baada ya kuzowea.Karibu sana, jisikie nyumbani. Lakini bahati mbaya umeingilia dirishani. Hili ni jukwaa la habari mchanganyiko. Kuna jukwaa maalum kwa ajili ya wageni kuingia.
Mimi mgeni wa kuanzisha thread ila ni mwenyeji wa kusoma habar mbal mbal humu, nimeamua kujiunga rasmi jana naomba mnipe ushirikiano.
Mm ni ke umri 25 picha cwek maana hamchelew kusema hilo.
Nawatakia kazi njema.Hapo kwenye red ni ushirikiano upi unaoutaka tukupe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila shaka umeanza kuzoea
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Mgeni tukupe Juice au Chai?
Au tukupe juice kwanza wakati unasubiri chai ichemke?