Habari zenu wakuu

Habari zenu wakuu

Mimi mgeni wa kuanzisha thread ila ni mwenyeji wa kusoma habar mbal mbal humu, nimeamua kujiunga rasmi jana naomba mnipe ushiriano.
Mm ni ke umri 25 picha cwek maana hamchelew kusema hilo.
Nawatakia kazi njema.

Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu sana, jisikie nyumbani. Lakini bahati mbaya umeingilia dirishani. Hili ni jukwaa la habari mchanganyiko. Kuna jukwaa maalum kwa ajili ya wageni kuingia.
 
Haya Karibu

RubiiKimimi[emoji85]
 
Mimi mgeni wa kuanzisha thread ila ni mwenyeji wa kusoma habar mbal mbal humu, nimeamua kujiunga rasmi jana naomba mnipe ushirikiano.
Mm ni ke umri 25 picha cwek maana hamchelew kusema hilo.
Nawatakia kazi njema.Hapo kwenye red ni ushirikiano upi unaoutaka tukupe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom