Naomba niulize kubadili cheti ambacho kime kosewa jina la Academy issue (Cheti cha Shule na Cha Kuzaliwa hua ina cost how much)??? Pia kama kuna mtu ali pata tatizo hili plizz naomba ani tafute au yeyote mwenye kufahamu process zake namba..... 0717920959