Habari zenu wana MTWARA GIRL'S,LY '2003 jamani.

Madame B

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2012
Posts
31,155
Reaction score
35,683
Habari zenu wanajamii,kwa wale tuliosoma MTWARA GIRL'S SECONDARY, Nasikia eti Mwl. Ngwada(Ngwadakulima) amefariki july mwaka jana,anaefahamu anijuze.

Kwa wasiomfahamu Ngwada, alikuwa mwalimu wa Biology pale shuleni,vilevile ndo mwl aliekuwa anaogopewa kuliko mwl.yoyote pale Mtwara Girl's sekondari.

NAOMBA MNIJUZE HII FUNUNU wana JF.
 
aaah kumbe we ni mdogo kiumri kiasi hk,hilo jina madame b lilikuwa linanitisha nikafikiri ni mmama aliyekula viroba vya humvi.
 
He! Ebwana e! Me mdogo sana? Acha hzo Nimekula chumvi godown 2.
 
Mie kuna mdada mmoja alikuwa anasoma pale nilikuwa nam-date, alikuwa hachoki kumwongelea huyu mwalimu. Usikute ni wewe?
 
Habari zenu wanajamii,kwa wale tuliosoma MTWARA GIRL'S SECONDARY, Nasikia eti Mwl. Ngwada(Ngwadakulima) amefariki july mwaka jana,anaefahamu anijuze.

Kwa wasiomfahamu Ngwada, alikuwa mwalimu wa Biology pale shuleni,vilevile ndo mwl aliekuwa anaogopewa kuliko mwl.yoyote pale Mtwara Girl's sekondari.

NAOMBA MNIJUZE HII FUNUNU wana JF.

alihama akapewa u headmaster masasi vjjn, bt cjackia kma amefariki.vp mwl ndossi hujamkumbuka? miss madovena jee?

bt me LY 2002.
 
Hv hii shule ni mchanganyiko au geloz tu? Nataka nimpeleke kijana wangu pale naskia pale ni wataalam wa biology.
 
madame unakumbuka maeneo haya?mangamba,naliendele,msijute,tandika, Lilungu magereza,magomeni kwa kinyogoli,shangani,hahahahaha mimi nilikuwa mtwara tech mwaka 2000.
 
Back
Top Bottom