Habari Zenu Wanajamvi

AFRIKA KWETU

Member
Joined
May 21, 2013
Posts
29
Reaction score
8
Ninafurahi kujumuika nanyi kupitia jamvi hili adhimu na lenye mchango mkubwa kwa jamii yetu. Tafadhari nipokeeni ili nami niweze kushiriki kwa namna mbalimbali juu ya yale yanayoihusu jamii yetu kwa maendeleo ya jamii yetu. Natanguliza shukrani zangu.
 
leo kumb ya kuzama kwa Mv Bukoba,Karibu
 

Karibu sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…