AFRIKA KWETU
Member
- May 21, 2013
- 29
- 8
Ninafurahi kujumuika nanyi kupitia jamvi hili adhimu na lenye mchango mkubwa kwa jamii yetu. Tafadhari nipokeeni ili nami niweze kushiriki kwa namna mbalimbali juu ya yale yanayoihusu jamii yetu kwa maendeleo ya jamii yetu. Natanguliza shukrani zangu.