B bacteria Member Joined Apr 6, 2009 Posts 8 Reaction score 1 Apr 6, 2009 #1 Nakuombeni mnipokee wanaJF niweze kupata mengi kutoka kwenu ikiwezeka nanyi mengi kutoka kwangu Rgds Bacteria
Nakuombeni mnipokee wanaJF niweze kupata mengi kutoka kwenu ikiwezeka nanyi mengi kutoka kwangu Rgds Bacteria
M Maamuma JF-Expert Member Joined Dec 22, 2008 Posts 848 Reaction score 306 Apr 6, 2009 #2 Karibu sana, ila hilo jina lako mh! Usije kutuletea maradhi ndani ya JF (joke). Tuko pamoja!
Saikosisi JF-Expert Member Joined May 4, 2007 Posts 528 Reaction score 34 Apr 7, 2009 #3 bacteria said: Nakuombeni mnipokee wanaJF niweze kupata mengi kutoka kwenu ikiwezeka nanyi mengi kutoka kwangu Rgds Bacteria Click to expand... Haya karibu, utoe na hiyo capsule yako uwe free kuchangia mawazo yako.
bacteria said: Nakuombeni mnipokee wanaJF niweze kupata mengi kutoka kwenu ikiwezeka nanyi mengi kutoka kwangu Rgds Bacteria Click to expand... Haya karibu, utoe na hiyo capsule yako uwe free kuchangia mawazo yako.
Pretty JF-Expert Member Joined Mar 19, 2009 Posts 2,577 Reaction score 565 Apr 7, 2009 #4 karibu, jisikie upo home.
Saikosisi JF-Expert Member Joined May 4, 2007 Posts 528 Reaction score 34 Apr 7, 2009 #5 Pretty said: karibu, jisikie upo home. Click to expand... Haki ya Mungu - na hilo ua jekundu, we acha tu ... nataka kujiandikisha upya.
Pretty said: karibu, jisikie upo home. Click to expand... Haki ya Mungu - na hilo ua jekundu, we acha tu ... nataka kujiandikisha upya.