Habari zenu wanaJF?

Habari zenu wanaJF?

bacteria

Member
Joined
Apr 6, 2009
Posts
8
Reaction score
1
Nakuombeni mnipokee wanaJF niweze kupata mengi kutoka kwenu ikiwezeka nanyi mengi kutoka kwangu

Rgds
Bacteria
 
Karibu sana, ila hilo jina lako mh! Usije kutuletea maradhi ndani ya JF (joke).
Tuko pamoja!
 
Nakuombeni mnipokee wanaJF niweze kupata mengi kutoka kwenu ikiwezeka nanyi mengi kutoka kwangu

Rgds
Bacteria

Haya karibu, utoe na hiyo capsule yako uwe free kuchangia mawazo yako.
 
Back
Top Bottom