Habari zenu wakuu,
Angalizo tafadhali:
-Ingekuwa vizuri zaidi kama threads like this which are more like greetings - kutaka kujuliana hali and all that - why not move these kinda discussions kule kwenye JF Live Chat?
-Simply login and you can talk with whomever, mkajuliana hali and all that, ili kupunguza msongamano wa threads kwenye jukwaa and leave it for serious discussions, otherwise ndio maana wengine wamekuwa wakilalamikia MMU inapoteza hadhi yake - this might be one of the reasons.
JF Live Chat is much more easier to use na imewekwa for this particular purpose, please lets try and get ourselves familiar with it and with time wote tutakwenda sambamba.
Nashukuru kwa uelewa.