Mkulubilanga Member Joined Sep 23, 2013 Posts 40 Reaction score 16 Sep 26, 2013 #1 Hii ni mara yangu ya kwanza kujumuika nanyi na leo sina lolote zaidi ya kujuliana hali na nimatumaini yangu ni wazima
Hii ni mara yangu ya kwanza kujumuika nanyi na leo sina lolote zaidi ya kujuliana hali na nimatumaini yangu ni wazima
N ng`wana ong`wa kulwa JF-Expert Member Joined Mar 14, 2013 Posts 2,420 Reaction score 1,752 Sep 26, 2013 #2 Nzuri muungwana karibu sana tunafurahi kuona wanachama wa JF tukiongezeka kila siku. cc.Juma Nkamia.
Landcruiser JF-Expert Member Joined May 27, 2013 Posts 1,805 Reaction score 599 Sep 26, 2013 #3 Karibu sana jf
F Flammable JF-Expert Member Joined May 1, 2013 Posts 872 Reaction score 103 Sep 26, 2013 #4 Ur warmly welcome
A Al-shabaab JF-Expert Member Joined Aug 24, 2013 Posts 1,791 Reaction score 619 Sep 26, 2013 #5 Karibu hujaja na info za jkt
xir jyerphy JF-Expert Member Joined Jul 12, 2013 Posts 994 Reaction score 184 Sep 26, 2013 #6 Mkulubilanga said: Hii ni mara yangu ya kwanza kujumuika nanyi na leo sina lolote zaidi ya kujuliana hali na nimatumaini yangu ni wazima Click to expand... Mkulubilanga....!! karibu sana EF, pita mpaka ndani mgeni, chukua kigoda tuzungumze kisomi... ANGALIZO *ingia ndani na kandambili lakini uFB acha kulee mlangoni.... *ogopa sana mtu anaitwa oil sumu, Al-shabaab, mpigamsuli, flyn ryder *kama ni undergraduate usitaje jina la chuo chako unless uwe UDSM, MUHAS, SUA, UCLAS, MU Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mkulubilanga said: Hii ni mara yangu ya kwanza kujumuika nanyi na leo sina lolote zaidi ya kujuliana hali na nimatumaini yangu ni wazima Click to expand... Mkulubilanga....!! karibu sana EF, pita mpaka ndani mgeni, chukua kigoda tuzungumze kisomi... ANGALIZO *ingia ndani na kandambili lakini uFB acha kulee mlangoni.... *ogopa sana mtu anaitwa oil sumu, Al-shabaab, mpigamsuli, flyn ryder *kama ni undergraduate usitaje jina la chuo chako unless uwe UDSM, MUHAS, SUA, UCLAS, MU
Mpigamsuli JF-Expert Member Joined May 24, 2012 Posts 3,885 Reaction score 582 Sep 26, 2013 #7 Karibu mkuu