Habari zenu waungwana

Habari zenu waungwana

Mkulubilanga

Member
Joined
Sep 23, 2013
Posts
40
Reaction score
16
Hii ni mara yangu ya kwanza kujumuika nanyi na leo sina lolote zaidi ya kujuliana hali na nimatumaini yangu ni wazima
 
Hii ni mara yangu ya kwanza kujumuika nanyi na leo sina lolote zaidi ya kujuliana hali na nimatumaini yangu ni wazima

Mkulubilanga....!!
karibu sana EF, pita mpaka ndani mgeni, chukua kigoda tuzungumze kisomi...

ANGALIZO
*ingia ndani na kandambili lakini uFB acha kulee mlangoni....
*ogopa sana mtu anaitwa oil sumu, Al-shabaab, mpigamsuli, flyn ryder

*kama ni undergraduate usitaje jina la chuo chako unless uwe UDSM, MUHAS, SUA, UCLAS, MU
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom