Habari zenu

Habari zenu

kunalkunal951

Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
89
Reaction score
12
Samahani naombeni msaada wenu Mimi natatizo la kupumua kwa sauti yani mpaka aliyekaa karibu yangu anaona kero tatizo nini hasa na tiba yake ni yepi ahsantenii............
 
May be unaweza kuwa na athma jaribu kwenda hosp kucheki afya na kuanza kutumia dawa kama bronchodilator/salbutamol
 
Samahani naombeni msaada wenu Mimi natatizo la kupumua kwa sauti yani mpaka aliyekaa karibu yangu anaona kero tatizo nini hasa na tiba yake ni yepi ahsantenii............
Nenda kapime hospitali unaweza kuwa unayo maradhi ya pumu ukitumia dawa hujapona nione mimi nipate kukutibia upate kupona.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Back
Top Bottom